HATUA YA 298: Uaminifu Huu Umezidi Yote.

Wakati ambao hakuna mtu wa kukufuatilia wala kukupangia cha kufanya ndio tunaweza kujua ufanyaji wako wa kazi ukoje. Ile bidi utakayoionyesha kwenye kazi na hakuna mtu anaekutazama ndio bidi yako halisi. Vile vile kwenye mambo mengine, kama wewe haupo kwenye mahusiano zile tabia ambazo unakuwa nazo kipindi hicho ndio tabia zako halisi. Kama umekuwa mtu […]

HUU NDIO UKWELI ULIKUWA HUUJUI JUU YA PESA.

Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako yawe bora zaidi! Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako. Ni wakati mwingine tena tunaenda kujifunza pamoja juu ya mambo mbalimbali ili tuweze kufikia mafanikio kila […]

HATUA YA 297: Kuwa Mjinga, Kisha Jiamini.

“All you need in this life is ignorance and confidence; then success is sure.” ― Mark Twain Samuel Langhorne Clemens ambaye anajulikana zaidi  kwa jina la Mark Twain aliwahi kusema; kitu ambacho unakihitaji kwenye Maisha yako ili ufanikiwe kwa hakika ni ujinga na ujasiri. Hii ina maana ya kwamba wewe ukubali kwamba hujui chochote halafu uwe […]

#HEKIMA YA JIONI: Aina Mbili Za Wakatishaji Tamaa.

Unapokuwa na Ndoto kubwa na shauku ya kwenda kuitimiza kuna watu wengi sana wanaweza kujitokeza kwenye Maisha yako kama washauri na wenye maoni yao juu ya kile unachotaka kufanya. Watu hawa wanaweza kuwa marafiki wa karibu na ndugu zako wa damu kabisa. Wote hawa wanaweza kutoa maoni yao juu ya kile unachokifanya kwa namna mbalimbali. […]

HATUA YA 296: Vile Unavyofikiri Juu ya Vitu Ndio Inaamua Furaha au Huzuni.

Very little is needed to make a happy life; it is all within yourself, in your way of thinking. -Marcus Aurelius. Mwanafalsafa huyu anatuambia ni vitu vidogo sana vinakukuhitaji ili uwe na furaha ya Maisha, na vitu hivyo vipo ndani yako katika namna unavyofikiri. Furaha au huzuni hailetwi na matukio yanayotokea bali ni namna ambavyo […]

HATUA YA 295: Hakuna Chenye Thamani Kinachopatikana Bila..

I never did anything worth doing by accident, nor did any of my inventions come by accident; they came by work. Plato Sijafanya kitu chochote kilicho cha thamani katika kufanya kwa ajali, wala hakuna uvumbuzi wangu uliokuja kwa ajali; vyote vilikuja kwa kufanya kazi. Plato Hii inatuonyesha kwamba chochote kile ambacho unafikiri kina thamani kubwa […]

KONA YA BIASHARA: Yajue Mapungufu Yako.

Ni vyema kwa kila mmoja akaweza kutambua ni wapi ana mapungufu na kuyafanyia kazi kabla hayajaleta madhara kwenye kazi. Kila binadamu ana mapungufu yake ndio maana haupo mwenyewe huku duniani. Kuna sehemu unateleza na yupo mtu ataweza kuwa msaada wako. Unapoyajua mapungufu yako unajipa nafasi ya ushindi mzuri kwenye biashara yako. Ukae ukijua kwamba mapungufu […]

HATUA YA 294: Unaposhindwa Jambo Unagundua Hiki..

Sometimes by losing a battle you find a new way to win the war. Donald Trump. Kwenye moja ya vitabu vya Rais wa Marekani Donald Trump amewahi kusema kuna nyakati tunaposhindwa ndipo tunapata njia za kushinda vita. Wakati mwingine tunayachukua makossa yetu na kuyafanya kama alama mbaya juu yetu. Hii inatokana na namna ambavyo uliambiwa […]

#HEKIMA YA JIONI; Dunia Haijawahi Kuwa Sawa na Haitaweza Kuwa Sawa.

Kwenye dunia hii haijawahi kutokea hata siku moja kukiwa na idadi kubwa ya watu na watu wote wakawa wanafurahi tu bila matatizo ya aina yeyote. Kuna mambo mengine yanatokea ni mabaya ndio lakini ni kwasababu ya mazuri ambayo yanapaswa kutokea mahali Fulani. Wewe unapovuna mazao mengi shambani na ukapeleka sokoni ukiwa na matumaini ya kupata […]

HATUA YA 293: Ulichonacho Sasa Ulishawahi Kutamani Kuwa Nacho.

Do not spoil what you have by desiring what you have not; remember that what you now have was once among the things you only hoped for. -Epicurus Moja ya mambo ambayo yanawafanya watu washindwe kuishi Maisha ya furaha hapa duniani ni kutokujua ni vitu gani wanataka. Unaweza kukuta mtu anapata kila anachokitafuta lakini bado […]